Monday, November 19, 2012

AZANIA 1997

Enzi hizi haziwezi rudi,kila jambo na wakati wake na kia mtu anawakati wa kufanya jambo lake kwa wakati wake ukifika ,Enzi hizi vijana walikuwa na wakati mgumu hasa wakati wa kurejea nyumbani wakitoka shule,daladala zilikuwa shida ilitulazimu kuzuia magari kwa nguvu kituo cha faya ili wanafunzi wasiokuwa na nguvu ya kupambana na kondakta nao wapate usafiri wa kurejea makwao.
HONGERA sana JUMANNE MLUNGWANA,PETER ARON DANSTANI PETER MREMA kwa kazi ya kujitolea mliyokuwa mnaifanya .

1 comment: