Saturday, March 16, 2013

mpakani sekondari  yafungwa;
Shule ya sekondari mpakani iliyoko halmashauri ya wilaya ya Momba katika mji mdogo wa tunduma imefungwa kwa muda baada ya kutokea vurugu za wanafunzi zilzopelwkea mwalimu mmoja kuumizwa kwa kupigwa na jiwe,vulugu hizi zilitokea baada ya mwalimu kutoa adhabu kwa wanafunzi ambao walikuwa hawaandiki nukuu za somo.