Ni siku ya fedha kitaifa ,wadau mbalimbali walijitokeza kuonesha ni kwa namna gani tunaweza pata usaidizi katika asasi za kifedha hapa ncini,ni jukumu la kila mwanajamii kujifunza namna ya kuchangamkia fursa mbalimbali zilizopo .
Monday, November 19, 2012
KISHAMBA: AZANIA 1997
KISHAMBA: AZANIA 1997: Enzi hizi haziwezi rudi,kila jambo na wakati wake na kia mtu anawakati wa kufanya jambo lake kwa wakati wake ukifika ,Enzi hizi vijana wal...
AZANIA 1997
Enzi hizi haziwezi rudi,kila jambo na wakati wake na kia mtu anawakati wa kufanya jambo lake kwa wakati wake ukifika ,Enzi hizi vijana walikuwa na wakati mgumu hasa wakati wa kurejea nyumbani wakitoka shule,daladala zilikuwa shida ilitulazimu kuzuia magari kwa nguvu kituo cha faya ili wanafunzi wasiokuwa na nguvu ya kupambana na kondakta nao wapate usafiri wa kurejea makwao.
HONGERA sana JUMANNE MLUNGWANA,PETER ARON DANSTANI PETER MREMA kwa kazi ya kujitolea mliyokuwa mnaifanya .
HONGERA sana JUMANNE MLUNGWANA,PETER ARON DANSTANI PETER MREMA kwa kazi ya kujitolea mliyokuwa mnaifanya .
DUNIA NI YA WATU
Kila jambo duniani hili litekelezeka linahitaji kuwa na watu wa kulitekeleza,hivyp basi kila mmja wetu anatakiwa kufanya ya watu ili dunia iendelee kuwepo
MAJUKUMU NI MENGI
Dunia ni kama kijiji lakini majukumu yake ni kama dunia ,kila jambo linahitaji kuwa makini unapolfanyia kazi maana bila ya hivyo huwezi fanya lolote katika jamii yako
Subscribe to:
Posts (Atom)
